Isaiah 1:8

8 aBinti Sayuni ameachwa kama kipenu
katika shamba la mizabibu,
kama kibanda katika shamba la matikitimaji,
kama mji uliohusuriwa.
Copyright information for SwhNEN